- 2 000
- 3 279 408
Mzee wa upako
Tanzania
Приєднався 4 кві 2017
Toka Jasho Jingi Wakati Wa Amani Itakusaidia Wakati Wa Vita Hautatokwa Damu Nyingi
#GRC kwa mzee wa upako (Athony Lusekelo)
Follow our Social Media:
FB: mzeewaupakotzz
IG: mzeewaupako_tz
TIKTOK: www.tiktok.com/@mzee__wa__upako
Askofu Antony Lusekelo ni kiongozi wa kiroho mwenye ushawishi na maono. Yeye ndiye mwanzilishi na mchungaji mwandamizi wa kanisa la Tutashinda.
Watazamaji zaidi ya million 5 hutazama jumbe zake za kutia moyo kila wiki kupitia runinga ya channel ten na zaidi ya watu milioni 1.7 wanaungana na Mzee wa upako kupitia majukwaa yake ya mitandao ya kijamii ulimwenguni.
Mzee wa upako anaweza kusikika 24/7 kwenye channel zake za UA-cam Mzee wa upako na TUTASHINDA CHURCH. Ungana na Askofu Antony Lusekelo kwenye Instagram Mzeewaupakotz.
Follow our Social Media:
FB: mzeewaupakotzz
IG: mzeewaupako_tz
TIKTOK: www.tiktok.com/@mzee__wa__upako
Askofu Antony Lusekelo ni kiongozi wa kiroho mwenye ushawishi na maono. Yeye ndiye mwanzilishi na mchungaji mwandamizi wa kanisa la Tutashinda.
Watazamaji zaidi ya million 5 hutazama jumbe zake za kutia moyo kila wiki kupitia runinga ya channel ten na zaidi ya watu milioni 1.7 wanaungana na Mzee wa upako kupitia majukwaa yake ya mitandao ya kijamii ulimwenguni.
Mzee wa upako anaweza kusikika 24/7 kwenye channel zake za UA-cam Mzee wa upako na TUTASHINDA CHURCH. Ungana na Askofu Antony Lusekelo kwenye Instagram Mzeewaupakotz.
Переглядів: 58
Відео
Roho Za Uasi Zinakaa Kwenye Udhaifu Wa Viongozi Wao
Переглядів 642 години тому
#GRC kwa mzee wa upako (Athony Lusekelo) Follow our Social Media: FB: mzeewaupakotzz IG: mzeewaupako_tz TIKTOK: www.tiktok.com/@mzee wa upako Askofu Antony Lusekelo ni kiongozi wa kiroho mwenye ushawishi na maono. Yeye ndiye mwanzilishi na mchungaji mwandamizi wa kanisa la Tutashinda. Watazamaji zaidi ya million 5 hutazama jumbe zake za kutia moyo kila wiki kupitia r...
Usimtete Baba Mchungaji wako
Переглядів 1182 години тому
#GRC kwa mzee wa upako (Athony Lusekelo) Follow our Social Media: FB: mzeewaupakotzz IG: mzeewaupako_tz TIKTOK: www.tiktok.com/@mzee wa upako Askofu Antony Lusekelo ni kiongozi wa kiroho mwenye ushawishi na maono. Yeye ndiye mwanzilishi na mchungaji mwandamizi wa kanisa la Tutashinda. Watazamaji zaidi ya million 5 hutazama jumbe zake za kutia moyo kila wiki kupitia r...
Utajiri Ni mchakato Unaoanzia Ndani Ya Ufahamu
Переглядів 17119 годин тому
Utajiri Ni mchakato Unaoanzia Ndani Ya Ufahamu
YESU ALIKUWA MASKINI ILI SISI TUWE MATAJIRI
Переглядів 344День тому
YESU ALIKUWA MASKINI ILI SISI TUWE MATAJIRI
MAOMBEZI MAALUM YA KUNG'OA VIKWAZO VYOTE VYA KIUCHUMI
Переглядів 76День тому
MAOMBEZI MAALUM YA KUNG'OA VIKWAZO VYOTE VYA KIUCHUMI
Mzee wa Upako AFICHUA SIRI ya UTAJIRI WAKE - AZUGUMZA MAMBO MAZITO YALIOMPA MALI MIAKA 37 ILIYOPITA.
Переглядів 65 тис.День тому
Mzee wa Upako AFICHUA SIRI ya UTAJIRI WAKE - AZUGUMZA MAMBO MAZITO YALIOMPA MALI MIAKA 37 ILIYOPITA.
Anguko La Watu Wengi Ni Kwenye Kujifunza
Переглядів 1,3 тис.14 днів тому
Anguko La Watu Wengi Ni Kwenye Kujifunza
Unaimba Mungu Ni Mwema Kwa Sababu Una Mtumaini
Переглядів 13714 днів тому
Unaimba Mungu Ni Mwema Kwa Sababu Una Mtumaini
Bila Ridhaa Ya Mungu Utajiri Utausikia
Переглядів 46414 днів тому
Bila Ridhaa Ya Mungu Utajiri Utausikia
SIKU NANE ZA MAOMBEZI MAALUM WIKI HII KUANZIA ALHAMIS YA TAR 13-06-2024
Переглядів 83614 днів тому
SIKU NANE ZA MAOMBEZI MAALUM WIKI HII KUANZIA ALHAMIS YA TAR 13-06-2024
Amen
Mzee wa upako anaelewa Bible na haubiri kama kibaraka Yesu ni mshirika wa Mungu na sio Mungu hata yeye alisema "mimi ni mzaliwa wa kwanza wa baba yaani Mungu" lakini alisema kwanini kuniita mwema mwemani Mungu pekee yake" kwavyo Yesu anatutambulisha ukuu wa Mungu
Amen, Ahsante kwa Neno
Hapa nimekuelewa sana anthony
Tatizo hamjamuelewa mzee ypo sawa
Mzee umekuwa mwiba sana kwenye ukristo aise
Wafundishe wataelewa tu kama yesu siomungu
Tatizo mnakuwa na mawazo potofu ya kibinadamu,kwamba mtu akitaka kuzaa afuate taratibu kdhaa! Mnakufuru na kuchuma dhambi! Kumbuka Mungu ni mkuu na kwa utukufu wake na uweza wake wa ajabu!bila hayo mnayofikiria ninyi ,Yesu alpatikana kupitia mama Bikira Maria!,Yesu atabaki kuwa mwana wa Mungu in na ni Mungu ktk nafsi ya pili ya Mungu.
NABARIKIWA NA INJIRI BABA
Amina sanaaa
YESU ni MUNGU tena Mkuu Tito 2:13
Duh! haya chief mwantembe
Tayari amekua shetani
Isaya 9:6 ...Naye ataitwa jina lake, mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu
Hakika mzee
There is difference between inner richness and money
hii kali, sadaka inalazimishwa.
Hah hah hah hah! Lusekeloooooooooo! Ok
YESU NI MUNGU100% Asingekuwa Mungu tusingemwabudu Wala damu yake isingeondoa dhambi Wala jina lake lisingeokoa, Emmanuel MUNGU PAMOJA NASI😂 Yohana 1:1 John 1:1,3,14 [1] Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. [14] Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
Mungu ni mmoja tu katika utatu, Mungu Baba mwana na Roho mtakatifu ni Mungu mmoja sio miungu mitatu hapanaaa Mungu nimkamilifu katika utatu, Hayo sio mapokeo Mapokeo ni mtu anaekataa kuwa Yesu sio Mungu 27:30 hayo ndiyo Mapokeo ya wanadamu Mimi Kama Mimi Yesu kristo nikiwa katika maombi namwita Mungu Wangu,Bwana wangu Yesu wangu na Roho mtakatifu nisaidie kuomba unaona jinsi inavyokuwa na utamu na ushindi Tena nikitamka tu kwajina la Yesu kristo shetani nipishe ananipisha akiwa amechanganyikiwa anakimbia Kwanjia saba lusekelo Bado tu ujatambua kuwa Yesu kristo ni Mungu Mkuu, Tena anasema kwajina langu mtatoa pepo na mtasema kwa luga mpya, na mtaweka mikono juu ya wagonjwa watapona, ludi upya kwa Bwana Yesu mpendwa,ili utembee na Rema sio rogosi Ya wanadin Wana wa Mungu wanatembea na Rema ndio maana wanamtambua Bwana wao Yesu kristo kuwa ni Mungu Mkuu, alipaa Mbinguni akiwa Mungu Atakuja kuwaukumu wanadamu akiwa Mungu Mkuu mwenye nguvu kuliko viumbe vyote Mbinguni na Duniani sijawai muona Alie Kama Yeye ,nawashangaa mno wanaomkataa Yesu kristo kusema sio Mungu,hiyo niajabu mno kwangu, Yeye ndiye alieniokoa Mimi,na kuniponya ,Nani kakudanganya mwantembe rafiki yangu kusema Yesu sio Mungu,. I 😢😢
Hatari mno Lusekelo Umetoka Rohoni umekuja njee mwilini Huwezi kulitambua jina la Mungu ukiwa mwilini,jina la Mungu linalotisha lilonanguvu kubwa ni jina la Yesu kristo, Hilo ndilo jina la Mungu Baba lusekelo usilitafsrili jina la Yesu katika mwili utatoka patupu katika mwili ni Binadamu Kama wewe lusekelo katika roho ni Mungu Mkuu,ohoo shauli yako. Utatekwa na wenye Imani ya mwilini no 666,namba hiyo inamkataa Yesu kristo kuwa sio Mungu sio mwana wa Mungu,, Mungu amekamili katika utatu, Mungu Mwana Mungu Baba na Roho mtakatifu lakini ni Mungu mmoja katika utatu, jina la Mungu ni cheo chake lakini jina leke ni Yesu kristo, Tena atapokuja kuhumu Dunia Hilo jina la Yesu,Hutalisikia Tena Atakuja na jina lingine kabisa ataitwa Neno la Mungu, Hapo sasa Dunia yote itatokwa na macho mekundi Kama wamevuta petroli,au Bangi maana wanadamu watachanganyikiwa ,kwakuwa waliliktataa neno la Mungu, 25:59
Hakika mzee
Siku mtaelewa dini ya kweli ni ipi uslam au ukristo
Mzee wa upako get the revelation of the bible
Unajuwa ila wahubiri wengine hawawezi kukuelewa
a simple reminder:go thru a metaphysics of IAM whereby Jesus himself said he is AIM
Upo sahihi
😂❤
UKITAKA KUFAHAMU UELEWA DUNI WA WATU PITIA COMMENTS....WENGI WETU TUNA UELEWA DUNI SANA TENA SANA WA HIZI DINI TULIZOLETEWA . IWE UKRISTO AU UISLAMU AU UBUDIST AU IMANI YOYOTE....WACHANGIAJI NI TATIZO NA MTOA HOJA NI SHIDA....MJINGA NA MPUMBAVU WANASIFIANA...NA TAAHIRA ANAPIGA MAKOFU...KWA KWELI HAKUNA JAMBO AGHALI DUNIANI KAMA UPUMBAVU....
Wazungu waliwadanganya kwa kuwaaminisha kuwa Yesu ni Mungu na kubadilisha maneno kwenye biblia hivyo hata ukiwazindua hawaamini.
Ni kweli kabisa Yesu siyo Mungu na wala hakuhusika ktk kuumba hii dunia ila ni nabii wa Mwenyezi Mungu na wanaomwita mungu na kumuabudu hiyo ni imani yao maana kuna wanaoabudu ng'ombe na masanamu pia wapo hivyo msimlaumu mzee wa upako
HEBU KAFIE MBELE HUKO, DINI YAKO YENYEWE INATEGEMEA MSINGI WA WAKRISTO, YAN BILA UKRISTIO HAMNA DINI NYIE MAKAFIR YA KIISLAM... QURAN KARIBU YOTE TUMEJAA SISI NA WAYAHUDI TU JINSI MNAVOWASHWA🤣
YESU NABII HUKO KWENU KWA BABAKO SIO KWA WAKRISTO!! NIACHE KUWAAMINI MITUME WA YESU WALIOKULA NAE MEZA MOJA NIMUAMINI CHIZI MMOJA ALOKUJA MIAKA 600 BAADA YA YESU KUPAA MBINGUNI🤣🤣 HATA SURA HAJAWAHI KUMUONA WALA KUMUOTA, ANAAMKA TU ANAKUJA KUWADANGANYA, CHIZI LINGINE NI HILI LA 2024 LISILOJUA LINACHOKIABUDU..AFU LIKIWA KANISANI KWAKE LINAOMBEA WATU KWA JINA LA YESU HUYO HUYO ANAESEMA SIO MUNGU NI MTUME...MXIUUU!!!!
MNAABUDU MUNGU MWEZI, MNAABUDU JIWE NA KULIBUSU KUOMBA KWENE HILO JIWE, WEHU WENZENU KIBAO WANAKUFA KWA KUKANYAGANA HUKO MECCA KISA KUGOMBANIA KULIGUSA JIWE🤣🤣🤣🤣🤣🤣HEBU KAMRUSHIE SHETANI MAWE HUKO MECCA USITUPGIE KELELE..KATIKA WATU WALIOCHANGANYIKIWA NA KUDANGANYWA NA MUDI NYIE WAISLAM..HAMNA DINI !!!
Wewe baba Naomba usituchanganye. Peleka hukohuko kwa mashetani wenzako hayo mahubiri Stupid man, nonsense
Utadaiwa hizoloho unazo zipoteza ckuyamwisho olekwako
Ulivyo kuwa masikin alikuwa mungu leo syo Mungu pouw
Ni ni mwana wa mungu lakini lakini ni mungu kwa asili but sio nafsi
Sasa akiwa duniani alikuwa na hali ya kibinadamu lkn kuna wakati anavaa uungu
Yesu alipovaa mwili ilikuwa lazima apungue Kila Khali
Hakika ni kweli
Hakika
Niliwaaambia tangu mda wa bandali kuwa huyu ni dalali hamkunielewa
Uyu jamaa ni dalali wa bandali niliwaaambia hamkuelewa
Yesu ni Mungu kweli
Utahukumiwa Kwa kuhubiri uongo
Mmmmmmmhapa Kuna shida Kwa huyu Mzee Naona kama hayuko sawa Ngoja tujiandae kumuokoa Kwa kufundisha maana atawapotosha watu Naomba mdaalo wa kufundisha hukiwa live na huyu mtu.
Kwani kuna mtu kasema Yesu ni Mungu
Nachomkubali @mzeewaupako anajenga msingi WA andiko Kwa uwazi WA maandiko MENGI. Sio Hawa wengine wanaotegemea andiko Moja lisilo WAZI. Wewe ni Chief Bhana
Kaka nakuunga mkono wewe bibiria unaifaamu unasema ukweli nipo pamoja nawe
Umesema kweli Mzee wa Upako Mwenyezi Mungu akubariki.
Kanisa ni moja tu ,katoliki la mitume
Tafsiri nyingi za biblia zinazotaja kwamba Mwenyezi Mungu ndiye yesu watafsiri waliasiliwa na mapokeo...wasomaji someni tafsiri mbalimbali na kwa lugha tofauti tofauti... Hiyo matendo 20:28 mnayotumia je mmesoma tafsiri kama hizi? Jihadharini wenyewe; lilindeni lile kundi ambalo Roho Mtakatifu amewaweka ninyi muwe walezi wake. Lichungeni kanisa la Mungu ambalo amejipatia kwa damu ya Mwanae. ❤ Jiangalieni wenyewe na kundi lote, ambalo kati yake roho takatifu imewaweka ninyi rasmi muwe waangalizi, mlichunge kutaniko la Mungu, ambalo alilinunua kwa damu ya Mwana wake mwenyewe.
Ambae anabisha Yesu sio Mungu atuambie Mungu wake anafananaje? Au amlete kabisa tumuone Mungu wake